Mkuu wa wilaya ya Monduli Mhe. Festo Kiswaga, akizungumza wakati wa kufunga mafunzo ya siku mbili ya Maafisa Tarafa na Maafisa Watendaji wa Kata Mkoa wa Arusha, yaliyofanyika kwenye ukumbi wa mikutano Ofisi ya Mkuu wa mkoa wa Arusha, Agosti 09,2024Mafunzo hayo ya siku ya mbili yameandaliwa na Ofisi ya Rais -TAMISEMI kwa kushirikiana na Chuo cha Serikali za Mitaa Hombolo na Chuo cha Utumishi wa Umma.
Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.