Mkuu wa wilaya ya Monduli Mhe.Festo Shemu Kiswaga, amewaailisha salamu za Mkoa wa Arusha kwa niaba ya Mkuu wa mkoa wa Arusha Mhe.Paul Christian Makonda kwenye Jukwaa la 16 la Manunuzi ya Umma Nchi za Jumuai ya Afrika Mashariki linalofanyika kwenye Kituo cha Mikutano ya Kimataifa Arusha - AICC, Ukumbi wa Simba, Septemba 09,2024
Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.