• Complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Arusha Regional

The United Republic of Tanzania President Office Regional Administration and Local Government Arusha Regional

  • Home
  • About Us
    • History
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa mikoa waliopita-Arusha
    • Dira na dhima
    • The basics
    • Strategies
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Units
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • District
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Councils
    • Arusha CC
    • Arusha DC
    • Meru DC
    • Monduli DC
    • Karatu DC
    • Longido DC
    • Ngorongoro DC
  • Investment Opportunities
    • Tourism
    • Livestock
    • Agricultre
    • Industrial
  • Our Service
    • Health
    • Education
    • Water
    • Land
    • Tourism
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events

DKT. BITEKO MGENI RASMI MAONESHO YA KARIBU KILI - FAIR 2025

Posted on: June 2nd, 2025

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Mashaka Biteko anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye msimu mwingine wa maonesho ya karibu Kili- fair mwaka 2025 yanayolenga kuonyesha mnyororo wa thamani katika sekta ya utalii na kuongeza tija kwa watanzania wote.



Akizungumza na waandishi wa habari leo 02 Juni, 2025 wakati akitembelea na kukagua maandalizi ya maonesho hayo, Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Christian Makonda amesema kuwa, Maonesho ya Karibu Kili Fair 2025 yatazinduliwa rasmi Juni 06, na kuhitimishwa Juni 08 mwaka huu katika viwanja vya magereza - Kisongo. 



Mhe. Makonda amesema kuwa, zaidi ya makampuni 500 na nchi zaidi ya 40 watakuwa katika viwanja hivyo kubadilishana uzoefu pamoja na kuchochea na kusisimua kwa kiasi kikubwa Utalii  huku akiwataka wananchi na Wadau wa Utalii kuchangamkia fursa ya uwepo wa maonesho hayo.



"Karibu Kili - Fair ni fursa kubwa kwa wananchi wa Mkoa wa Arusha, watanzania na wana Afrika Mashariki, ikilenga zaidi kwenye uchumi, ni jukwaa linalokukutanisha wewe mtoa huduma na mteja wako ili kuhakikisha kuwa mnyororo wa thamani ambao umechagizwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan unaleta tija katika maisha yako". Amesisitiza Mhe. Makonda



Hata hivyo, ametumia fursa hiyo, kuwakaribisha watanzania wote kukaribia Mkoani humo kwasabu kuna fursa nyingi za kutengeneza pesa na kubadilishana uzoefu na wafanyabiashara kutoka mataifa mengine huku akisisitiza watoa huduma wote kwa wageni watakaofika kwenye maonesho hayo kutoa huduma kwa ukarimu ili wageni hao wakaribie tena.



Naye Mkurugenzi wa Kampuni ya Kili Fair, Dominic Shoo, amesema kuwa  maonesho ya mwaka huu yatafanyika kwa viwango vya juu sana na ni tofauti na maonesho yaliyopita kutokana na maboreaho makubwa yaliyofanywa.



Maandalizi ya maonesho hayo yamefikia asilimia 70 na eneo limeongezwa zaidi kutokana na mahitaji ya soko.

Announcements

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO MTIHANI WA UTAMIRIFU (MOCK) 2025 DARASA LA SABA (VII)- MKOA WA ARUSHA June 07, 2025
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • View All

Latest News

  • KARIBU ARUSHA Mhe. KENAN LABAN KIHONGOSI MKUU WA MKOA WA ARUSHA

    June 26, 2025
  • KARIBU ARUSHA Mhe. KENAN LABAN KIHONGOSI MKUU WA MKOA WA ARUSHA

    June 26, 2025
  • SIKU YA KWANZA; WAKAZI WA ARUSHA WAJITOKEZA KWENYE KAMBI YA MADAKTARI BINGWA NA MABINGWA WABOBEZI

    June 23, 2025
  • RC MAKONDA ASHIRIKI MARATHON YA KKKT 2025

    June 21, 2025
  • View All

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
More Videos

Quick Links

  • Guildlines Towards the use of ICT In Government
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Related Links

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Public Servant Portal
  • Takwimu
  • TANAPA

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

Other Contacts

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Sitemap
    • FAQ

Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.