DKT.BITEKO AZINDUA KITUO CHA KURUSHIA MATANGAZO YA TBC LOLIONDO
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Doto Biteko azindua kituo cha kurushia matangazo ya TBC, mradi wa kuongeza usikivu wa kurushia matangazo ya TBC Taifa na Bongo FM wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC).
Dkt. Biteko amezindua mradi huo kwenye mji wa Loliondo - Ngorongoro kwa niaba ya vituo vingine ambavyo ni Makete, Kyela, Uvinza na Mbinga.
@ikulu_mawasiliano
@biteko @napennauye
@arusha_district_council
#miaka60yamuungano
Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.