Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) Bi. Aisha Dachi akitoa maelezo kwa Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Dotto Biteko (Mb), kuhusu mradi wa usikivu wa kurushia matangazo ya TBC Taifa na Bongo FM wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) leo Aprili 15, 2024
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Dotto Biteko (Mb) akimuonesha jambo Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape Mosses Nnauye (Mb), wakati wakipokea maelezo kutoka kwa Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) Bi. Aisha Dachi kuhusu mradi wa usikivu wa kurushia matangazo ya TBC Taifa na Bongo FM wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) leo Aprili 15, 2024.
Viongozi mbalimbali wakiongozwa na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Dotto Biteko (Mb) , Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape Mosses Nnauye (Mb), wakisoma bango lilioandikwa UZINDUZI WA VITUO VYA KURUSHIA MATANGAZO REDIO TBC TAIFA NABONGO FM ikiwa ni mradi wa usikivu wa kurushia matangazo ya TBC Taifa na Bongo FM wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) leo Aprili 15, 2024.
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) Aisha Dachi (kulia) na Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF), Justina Mashiba, wakisaini hati za makabidhiano ya Mradi wa usikivu wa kurushia matangazo ya TBC - Taifa na Bongo FM wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) leo Aprili 15, 2024.
Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.