• Complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Arusha Regional

The United Republic of Tanzania President Office Regional Administration and Local Government Arusha Regional

  • Home
  • About Us
    • History
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa mikoa waliopita-Arusha
    • Dira na dhima
    • The basics
    • Strategies
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Units
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • District
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Councils
    • Arusha CC
    • Arusha DC
    • Meru DC
    • Monduli DC
    • Karatu DC
    • Longido DC
    • Ngorongoro DC
  • Investment Opportunities
    • Tourism
    • Livestock
    • Agricultre
    • Industrial
  • Our Service
    • Health
    • Education
    • Water
    • Land
    • Tourism
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events

JESHI LA POLISI ARUSHA; LATEKELEZA MAAGIZO YA RC MAKONDA

Posted on: May 20th, 2024

Jeshi la Polisi mkoa wa Arusha,  limesema lipo tayari kushirikiana na Mkuu wa Mkoa na wakuu wa wilaya zote za Mkoa wa Arusha kwenye kuhakikisha haki za wananchi zilizopotea zinapatikana kwa haraka kulingana na maelekezo yatakayotolewa.


Kamanda wa Polisi mkoa wa Arusha,  Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi, Justine Masejo ametoa taarifa hiyo wakati  akizungumzia utekelezaji wa maagizo mbalimbali ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Christian Makonda, kufuatia Kliniki ya Rejesha Haki iliyohusisha kusikiliza na kutatua kero mbalimbali za wananchi iliyofanyika Mei 8-10 mwaka huu.


Kamanda wa Polisi amesema kuwa,  miongoni mwa kesi walizozishughulikia ni pamoja na ukamataji wa magari ya kubeba mizigo yanayomilikiwa na wanandoa wa zamani yaliyokuwa yanaharibiwa na kuuzwa kwa spea na aliyekuwa Mume wa Mwalimu Sabina John Mosi.


Mei 08, 2024 Mwalimu Sabina alifika Mbele ya Mkuu wa Mkoa na kumueleza kuwa wakati wa mahusiano yake na Julius Mwase walifanikiwa kuwa na mali kadhaa ikiwemo nyumba na magari na baada ya kutengana aliyekuwa mume wake alianza kuuza spea za magari waliyokuwa wanamiliki kinyume na sheria na taratibu za umiliki.


Baada ya kusikilizwa, Mhe. Mkuu wa Mkoa aliliamuru Jeshi la Polisi kushikilia magari hayo wakati wakisubiri kusikilizwa kwa shauri la madai ambalo limepelekwa mahakamani na Mwalimu Sabina.


Jeshi la Polisi tayari linayashikilia magari hayo kwenye kituo kikuu cha Polisi wa usalama barabarani na Kamanda Masejo anasema wanasubiri maamuzi ya Mahakama na kile ambacho watakiamua kuhusu umiliki wa magari hayo.

@ikulu_mawasiliano @maelezonews @baba_keagan @msemajimkuuwaserikali @samia_suluhu_hassan

Announcements

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • View All

Latest News

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • View All

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
More Videos

Quick Links

  • Guildlines Towards the use of ICT In Government
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Related Links

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Public Servant Portal
  • Takwimu
  • TANAPA

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

Other Contacts

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Sitemap
    • FAQ

Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.