• Complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Arusha Regional

The United Republic of Tanzania President Office Regional Administration and Local Government Arusha Regional

  • Home
  • About Us
    • History
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa mikoa waliopita-Arusha
    • Dira na dhima
    • The basics
    • Strategies
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Units
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • District
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Councils
    • Arusha CC
    • Arusha DC
    • Meru DC
    • Monduli DC
    • Karatu DC
    • Longido DC
    • Ngorongoro DC
  • Investment Opportunities
    • Tourism
    • Livestock
    • Agricultre
    • Industrial
  • Our Service
    • Health
    • Education
    • Water
    • Land
    • Tourism
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events

KAMATI YA SIASA YAAGIZA AUWSA KUREKEBISHA MFUMO WA MAJI SHULE YA SEKONDARI MRINGA.

Posted on: March 18th, 2024


Na Elinipa Lupembe 


Kamati ya Siasa mkoa wa Arusha, imetembelea na kukagua hali ya mradi wa ujenzi wa mabweni mawili ya wasichana shule ya sekondari Mringa, mabweni yaliyojengwa kwa gharala ya shilingi milioni 260, fedha kutoka Serikali Kuu kupitia miradi ya kuboresha miundombinu ya Sekondari Nchini (SEQUIP).


Wajumbe hao wameridhishwa na kupongeza utekelezaji wa  mradi huo, ambao umeongeza ari ya watoto wa kike kusoma kwenye mazingira salama chini ya uangalizi wa walimu muda wote, amemuagiza Meneja wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Arusha (AUWSA), kurekebisha mfumo wa maji shuleni hapo na kuhakikisha maji yanatoka shuleni hapo muda wote.


Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Loy Thomas Ole Sabaya, amewapongeza wananchi kwa usimamizi wa mradi huo wa mabweni pamoja na kuwaagiza AUWSA, kushughulikia tatizo la maji shuleni hapo, ili kuwe na maji ya uhakikika shuleni hapo.


"Shughulikieni tatizo la maji shuleni hapa, maji yatoke siku zote, hapa kuna wanafunzi wengi hivyo uwepo wa maji ya uhakika ni muhimu, ili kuepuka magonjwa ya mlipuko na wanafunzi kutumia muda mwingi kusoma badala ya kwenda kutafuta maji na ndoo kichwani".Amesema Mwenyekiti Sabaya


Hata hivyo, ameipongeza Serikali kupitia halmashauri kwa mradi huo mzuri, uliotekelezwa kwa ubora wa viwango vinavyoendana na thamani ya pesa iliyotolewa na Serikali na kuwasisitiza wazazi na kuhakikisha watoto wao wanakwenda shule pamoja na kuwasisitiza wanafunzi kusoma kwa bidii.


"Niwasihi wanafunzi kusoma kwa bidii na kufikia ndoto zenu,  Serikali imeshawaandalia miundombinu na mazingira rafiki na salama ya kujisomea hakikisheni mnasoma kwa bidii na kupata ujuzi utakaokuja kulitumikia taifa lenu hapo baadaye" Amesema Sabaya


Awali, Wajumbe wa Kamati hiyo, wanafanya ziara ya kawaida ya siku mbili ya kutembelea na kukagua miradi ya Maendeleo, ikiwa ni ukagua wa utekelezaji wa Ilani ya Chama cha Mapinduzi CCM katika halmashauri ya Arusha, wilaya ya Arumeru.


#arushafursalukuki 




                        
                       
                        </div>
                        <!-- /.right-sidebar-content -->
                        <!--/END RIGHT SIDEBAR CONTENTE SECTION-->
                    </div>



<div class=

Announcements

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • View All

Latest News

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • View All

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
More Videos

Quick Links

  • Guildlines Towards the use of ICT In Government
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Related Links

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Public Servant Portal
  • Takwimu
  • TANAPA

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

Other Contacts

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Sitemap
    • FAQ

Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.