• Complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Arusha Regional

The United Republic of Tanzania President Office Regional Administration and Local Government Arusha Regional

  • Home
  • About Us
    • History
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa mikoa waliopita-Arusha
    • Dira na dhima
    • The basics
    • Strategies
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Units
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • District
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Councils
    • Arusha CC
    • Arusha DC
    • Meru DC
    • Monduli DC
    • Karatu DC
    • Longido DC
    • Ngorongoro DC
  • Investment Opportunities
    • Tourism
    • Livestock
    • Agricultre
    • Industrial
  • Our Service
    • Health
    • Education
    • Water
    • Land
    • Tourism
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events

"KIPAUMBELE CHETU ARUSHA KIWE KAZI TU"  RC MAKONDA.....

Posted on: May 23rd, 2024

Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Christian Makonda amewataka watendaji na Viongozi wa ngazi zote za Wilaya ya Longido Mkoani Arusha kufanya kazi kwa bidii katika kutimiza ahadi na maelekezo ya Chama na Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.


Mhe. Makonda ametoa kauli hiyo leo Mei 23,2024 ikiwa ni siku yake ya kwanza ya ziara ya Kikazi Wilayani Longido, Ziara ambayo itafanyika kwa siku sita kwenye Wilaya zote za Mkoa wa Arusha.


Mara baada ya kupokelewa na watumishi wa Wilaya hiyo, Mhe. Makonda amesisitiza suala la Uwajibikaji na kusikiliza wananchi, akitaka kila mmoja kutambua majukumu yake na kuthamini kuaminika kwake na Serikali ya awamu ya sita, akihimiza pia ushirikiano kutoka kwa watumishi na watendaji mbalimbali ili kuleta matokeo ya haraka kwenye kuwatumikia wananchi wa Longido.


Awali Mkuu wa Wilaya ya Longido Marko Henry Ng'umbi amemshukuru Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan kwa kutoa Bilioni 44 ndani ya miaka yake mitatu ya uongozi kwaajili ya kutekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo wilayani Longido.


Mhe. Ng'umbi amesema fedha hizo zimefanikisha kupeleka huduma ya nishati kwenye Vijiji vyote vya Longido pamoja na kusaidia miundombinu mbalimbali ya elimu, afya pamoja na barabara.


Akiwa Longido, Mhe. Mkuu wa Mkoa atakagua nyumba za watumishi wa afya Leremeta,atatembelea mradi wa Maji Sinya pamoja na kukagua shule ya Sayansi ya waaichana Longido kabla ya kufanya mkutano mkubwa wa hadhara kwenye uwanja wa shule ya Msingi Namanga.


Katika ziara yake Mhe. Paul Christian Makonda, Mkuu wa Mkoa wa Arusha na maafisa wengine wa serikali na Chama Cha Mapinduzi wametumia magari maalumu yanayotumika kusafirisha watalii mkoani Arusha ikiwa ni sehemu ya jitihada zake za kuutangaza utalii wa Arusha na kuendelea kuvutia zaidi watalii na wageni mbalimbali kuutembelea mkoa wa Arusha.

Announcements

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • View All

Latest News

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • View All

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
More Videos

Quick Links

  • Guildlines Towards the use of ICT In Government
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Related Links

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Public Servant Portal
  • Takwimu
  • TANAPA

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

Other Contacts

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Sitemap
    • FAQ

Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.