Mafunzo ya Mfumo Mpya wa Manunuzi ya Umma kwa njia ya Kielekroniki (NeST) kwa Wakuu wa Idara toka Halmashauri saba za Mkoa wa Arusha yakiendelea katika ukumbi wa Mikutano wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa.
Mafunzo hayo yameanza tarehe 21/08/2023 na yanatarajiwa kumalizika tarehe 25/08/2023 yakiingozwa na Mwezeshaji Gibson K.Manyika Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Manunuzi Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha na timu ya Wawezeshaji wengine walioshiriki mafunzo hayo Mkoani Dodoma takribani wiki 3 zilizopita.
Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.