• Complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Arusha Regional

The United Republic of Tanzania President Office Regional Administration and Local Government Arusha Regional

  • Home
  • About Us
    • History
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa mikoa waliopita-Arusha
    • Dira na dhima
    • The basics
    • Strategies
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Units
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • District
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Councils
    • Arusha CC
    • Arusha DC
    • Meru DC
    • Monduli DC
    • Karatu DC
    • Longido DC
    • Ngorongoro DC
  • Investment Opportunities
    • Tourism
    • Livestock
    • Agricultre
    • Industrial
  • Our Service
    • Health
    • Education
    • Water
    • Land
    • Tourism
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events

MAKAMU WA RAIS DKT. MPANGO AMPONGEZA RC MAKONDA KWA KUWAJALI WANANCHI ARUSHA.

Posted on: June 4th, 2025

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango amempongeza  Mkuu wa Mkoa Arusha Mhe. Paul Christian Makonda kwa utendaji kazi wake mzuri na kujali  maslahi ya wananchi hasa wenye uwezo mdogo kwa Zoezi la Upimaji wa afya kwa kuwaleta madaktari bingwa na wabobezi kwaajili ya kutoa huduma bure.



Dkt. MPango ametoa pongezi leo 04 Juni, 2025 wakati akifungua Mkutano Mkuu wa 55 na Kongamano la Kisayansi la mwaka la Chama cha Wafamasia Tanzania lililofanyika kwenye ukumbi wa kimataifa wa Mikutano (AICC) Arusha ambapo amesisitiza kuwa kazi ya kuwahudumia wananchi ni kazi ya Mungu.



Aidha, Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Christian Makonda amesema anaendelea kutekeleza kikamilifu Maelekezo ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ya kuhakikisha wanachi wanyonge na wasio na uwezo wanapata huduma bora ambapo kwa mwaka jana,  zaidi ya watu 32.000 walipata huduma ya matibabu ya bure.



Hata hivyo, Mhe. Makonda amewatangazia wananchi wa Mkoa huo uwepo wa kambi ya madaktari bingwa na wabobezi watakaotoa huduma ya matibabu bure kwa Magonjwa yote kuanzia Tarehe 23 hadi 29 Juni mwaka huu.


Announcements

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO MTIHANI WA UTAMIRIFU (MOCK) 2025 DARASA LA SABA (VII)- MKOA WA ARUSHA June 07, 2025
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • View All

Latest News

  • KARIBU ARUSHA Mhe. KENAN LABAN KIHONGOSI MKUU WA MKOA WA ARUSHA

    June 26, 2025
  • KARIBU ARUSHA Mhe. KENAN LABAN KIHONGOSI MKUU WA MKOA WA ARUSHA

    June 26, 2025
  • SIKU YA KWANZA; WAKAZI WA ARUSHA WAJITOKEZA KWENYE KAMBI YA MADAKTARI BINGWA NA MABINGWA WABOBEZI

    June 23, 2025
  • RC MAKONDA ASHIRIKI MARATHON YA KKKT 2025

    June 21, 2025
  • View All

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
More Videos

Quick Links

  • Guildlines Towards the use of ICT In Government
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Related Links

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Public Servant Portal
  • Takwimu
  • TANAPA

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

Other Contacts

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Sitemap
    • FAQ

Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.