"Mazingira bora shuleni humvutia mtoto kupenda shule, hurahisisha tendo la kufundisha na kujifunza kwa mwalimu na mwanafunzi pamoja na kumjengea mtoto uwezo wa kuelewa kwa urahisi"
Mwalimu Marry Laiza, anafundisha somo la wanafunzi wa darasa la tano, amekiri kufurahia kufundisha kwenye miundombinu ya shule mpya ya Msingi Emairete halmashauri ya Monduli
"Mazingira bora shuleni humvutia mtoto kupenda shule, hurahisisha tendo la kufundisha na kujifunza kwa mwalimu na mwanafunzi pamoja na kumjengea mtoto uwezo wa kuelewa kwa urahisi" Ameweka wazi Mwl. Marry.
Hiyo ni hali halisi ya shule hiyo yaMsingi Emairete, mara baada ya shule kufungua tarehe 08 Januari, 2024 na kuanza muhula mpya kwa mwaka wa masomo 2024.
Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.