Halmashauri ya Wilaya ya Meru, imeshika nafasi Ya kwanza Mkulima na Mfugaji hodari kufuatia mashindano ya Maonesho ya NaneNane na sherehe za Wakulima Kanda ya Kaskazini.Mkulima Penina Ndelekwa Nnko kutoka halamshaurinya Meru wilaya ya Arumeru ameibuka kidedea kwa kushika nafasi ya kwanza kwa mikoa yote mitatu ya Kanda ya Kaskazini Arusha, Kilimanjaro na Manyara.
Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.