• Complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Arusha Regional

The United Republic of Tanzania President Office Regional Administration and Local Government Arusha Regional

  • Home
  • About Us
    • History
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa mikoa waliopita-Arusha
    • Dira na dhima
    • The basics
    • Strategies
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Units
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • District
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Councils
    • Arusha CC
    • Arusha DC
    • Meru DC
    • Monduli DC
    • Karatu DC
    • Longido DC
    • Ngorongoro DC
  • Investment Opportunities
    • Tourism
    • Livestock
    • Agricultre
    • Industrial
  • Our Service
    • Health
    • Education
    • Water
    • Land
    • Tourism
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events

MHE. MCHENGERWA: WANAFUNZI WOTE WENYE SIFA WALIOSAJILIWA  WAANZE MASOMO JANUARI,2024...

Posted on: January 1st, 2024

OR-TAMISEMI


Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Mohamed Mchengerwa amewaagiza Wakuu wa Mikoa kutekeleza maagizo mbalimbali ili mchakato wa kuwapokea wanafunzi wapya shule za awali, msingi na sekondari uende kwa ufanisi kuanzia Januari 6,2024.


Mhe. Mchengerwa, ametoa agizo hilo lleo Jumamosi Desemba 30,  wakati akizungumza na wakuu wa mikoa katika kikao kazi kilichofanyika kwa njia ya mtandao ambapo viongozi hao walieleza hatua zilizofikiwa katika miradi ya elimu na walivyojipanga kuwapokea wanafunzi wapya.


Hata hivyo, wakuu wa mikoa hao kwa nyakati tofauti wakiwasilisha maelezo yao kuhusu utekelezaji wa miradi ya elimu walimhakikishia Waziri Mchengerwa kuwa hakuna mwanafunzi atakayekaa chini au kukosa darasa na kuwa wote walioandikishwa na kufaulu wataanza masomo kwa wakati mmoja.


Aidha Waziri Mchengerwa ameagiza kuwa wakuu wa mikoa ambao bado hawajakamilisha ujenzi wa miundombinu mbalimbali ya Elimu kuhakikisha wanakamilisha baadhi ya majengo ya vyumba vya madarasa ifikapo Januari 15 kama walivyoahidi wakati wanatoa taarifa ya utekelezaji wa miradi ya elimu katika mikoa yao.


“Mimi na wasaidizi wangu tutapita  kila mkoa, halmashauri na wilaya kukagua miradi mbalimbali ya elimu kama ambavyo mlimewekq ahadi za utekelezaji,” amesema.


Maagizo mengine  aliyoyatoa ni pamoja na shule zote mpya zinazojengwa zisajiliwe hususan ni zile za wasichana na baada ya mchakato huo kukamilika zianze kazi mara moja ya kupokea wanafunzi. Amesema baadhi ya mikoa ukiwamo wa Pwani wameanza mchakato huo.


Amesema kuna mikoa wamekamilisha ujenzi wa shule mpya kati ya asilimia 75 hadi 80, lakini bado shule hizo hazijasajiliwa wala kupokea wanafunzi, maelekezo yangu kwa wakuu wa mikoa shule zote zisajiliwe.


“Naomba msimamie usajili na mapokezi kwa wanafunzi wanaojiunga na elimu ya awali na darasa la kwanza na kidato cha kwanza. Hakikisheni wanafunzi wanasajiliwa bila masharti,” amesema Mchengerwa.


Waziri huyo amewataka wakuu wa mikoa kusimamia vema bajeti ya chakula kwa wanafunzi katika shule zote za bweni ili kuhakikisha wanapata chakula hicho.


Announcements

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • View All

Latest News

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • View All

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
More Videos

Quick Links

  • Guildlines Towards the use of ICT In Government
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Related Links

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Public Servant Portal
  • Takwimu
  • TANAPA

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

Other Contacts

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Sitemap
    • FAQ

Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.