• Complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Arusha Regional

The United Republic of Tanzania President Office Regional Administration and Local Government Arusha Regional

  • Home
  • About Us
    • History
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa mikoa waliopita-Arusha
    • Dira na dhima
    • The basics
    • Strategies
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Units
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • District
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Councils
    • Arusha CC
    • Arusha DC
    • Meru DC
    • Monduli DC
    • Karatu DC
    • Longido DC
    • Ngorongoro DC
  • Investment Opportunities
    • Tourism
    • Livestock
    • Agricultre
    • Industrial
  • Our Service
    • Health
    • Education
    • Water
    • Land
    • Tourism
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events

MHE. SAGINI: WANANCHI ZINGATIENI SHERIA ZA USALAMA BARABARANI

Posted on: February 25th, 2024


Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani Mhe. Jumanne Sagini (Mb) amewataka wananchi kufuata Sheria za Usalama Barabarani ili kuepusha ajali zisisokuwa za lazima


Mhe. Sagini amesema hayo wakati akizungumza na wafiwa ndugu jamaa na marafiki waliofika kwenye chumba cha maiti kwa ajili ya kuwachukua ndugu zao waliofariki kwa ajali ya gari iliyotokea eneo la Ngaramtoni wilaya ya Arumeru Februari 23, 2024.


Amesema kuwa uchunguza wa awali wa ajli hiyo unaonesha, kuna uzembe mkubwa wa madereva wanaoendesha vyombo vya moto ikiwemo wa magari na bodaboda  uliosababisha ajali iliyotekea na kupotewpza masiha ya watanzania na raia wa nje.


Amewataka watanzania wote kuhakikisha wanazingatia sheria za Usalama Barabarani kwa kuwa gari lililobeba mizigo halikuwa na gari dogo la kusindikiza 'escorts' nyuma na mbele lakini eneo lilipokuwa daladala ni eneo la njia panda hivyo si eneo la kupakia na kushusha abiria.


"Wananchi wamelalamikia mwendo kasi wa madereva bodaboda, ninaagiza Jeshi la Polisi kufanya Uchunguzi wa kina na kuona namna ya kuhakikisha vituo vya kupakia na kushuha abiria inakuwa mbali na eneo la njia panda pamoja na kudhibiti mwendo kasi wa madereva wa  pikipiko maarufu kama bodaboda" Ameweka wazi Mhe. Sagini


Awali, ameungana na mkuu wa mkoa wa Arusha na viongozi wote wa Serikali pamoja na Mhe. Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan, kutoa pole kwa wafiwa wote na watanzania kwa ujumla, na kuhakikisha maagizo ya Serikali yanafanyiwa kazi.


Announcements

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • View All

Latest News

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • View All

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
More Videos

Quick Links

  • Guildlines Towards the use of ICT In Government
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Related Links

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Public Servant Portal
  • Takwimu
  • TANAPA

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

Other Contacts

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Sitemap
    • FAQ

Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.