Tunajivunia Miaka mitatu ya Kishindo, Serikali katika kuwezesha mazingira rafiki ya Watumishi kufanyia kazi, imejenga Jengo la Utawala Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro, kwa lengo la kuhakikisha wananchi wanapata huduma kwenye mazingira bora.
Mradi huo wa ujenzi wa Jengo hilo la Utawala umegharimu kiasi cha shilingi Bilioni 3, fedha kutoka Serikali Kuu.
Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.