Tunajivunia Miaka mitatu ya Kishindo, ya mama Semia, Serikali imejenga chuo cha Ualimu Ngorongoro, Wilaya ya Ngorongoro, kwa lengo la kuhakikisha ongezeko la shule mpya zilizojengwa nchini, zinazoenda sambamba na ongezeko la idadi ya wanafunzi liende sawia na uwepo wa walimu shuleni.
Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.