• Complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Arusha Regional

The United Republic of Tanzania President Office Regional Administration and Local Government Arusha Regional

  • Home
  • About Us
    • History
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa mikoa waliopita-Arusha
    • Dira na dhima
    • The basics
    • Strategies
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Units
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • District
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Councils
    • Arusha CC
    • Arusha DC
    • Meru DC
    • Monduli DC
    • Karatu DC
    • Longido DC
    • Ngorongoro DC
  • Investment Opportunities
    • Tourism
    • Livestock
    • Agricultre
    • Industrial
  • Our Service
    • Health
    • Education
    • Water
    • Land
    • Tourism
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events

MKOA WA ARUSHA UNAHITAJI UWEKEZAJI MKUBWA KISEKTA ILI KUIMARISHA SEKTA YA UTALII....

Posted on: November 1st, 2023


Na Elinipa Lupembe


Mkoa wa Arusha kwa sasa unahitaji mpango mkakati wa uwekezaji mkubwa  kiseta, hususani katika miundombinu ya barabara, makazi na rasilimali watu ili kuboresha sekta ya utalii na kumudu kuwahudumia wageni pamoja na kukidhi matakwa ya wageni wote.


Hayo yamesemwa na Mkuu wa mkoa wa Arusha Mhe. John V.K Mongella, akiwataka wadau na wakazi wa Arusha, kuungana kuwa na mpango endelevu wa kuwekeza kwenye katika sekta zote zinazoweza kulisha sekta ya utalii.


Ameweka wazi kuwa, serikali imetoa fedha za  mradi mikubwa ya kimkakati  wa Jiji la Arusha ili kuboresha miundombinu na kuwataka wadau na wakazi wa mkoa huo kutumia fursa kuwekeza kwenye sekta zote zinazolisha sekta ya Utalii.


Amefafanua kuwa, Utalii ndio muhimili wa uchumi wa mkoa huo na Tanzania kwa ujumla, hivyo kunahitajika, uwepo wa miundombinu ya uhakika, kwa kujenga hoteli za kutosha zenye hadhi, barabara za kupitika kipindi chote pamoja na kuwa na rasilimali watu ya kuwahudumia wageni hao.


Ameongeza  sasa mkoa umefunguka kiuchumi, unapokea wageni wengi kutoka ndani na nje ya nchi, hivyo kuna uhitaji wa kufanya uwekezaji mkubwa, utakaowezesha kumudu upatikanaji na utoaji wa huduma bora kwa wageni wote kwa wakati  kwa viwango vinavyokidhi matakwa ya wageni.


"Kwa sasa 'season' za utalii zinungana kila wakati tunapokea wageni wa ndani na nje ya nchi wakifika hapa kwa hughuli mbalimbali, wapo wanaokuja kwa mikutano na kutembelea vivutio vya utalii, lakini wapo wanaokuja kwa kutalii moja kwa moja na wote wanahitaji kupata huduma stahiki zinazokidhi mahitaji yao, tunahitaji kujipanga vema ili kumudu kuwahudumia bila kuelemewa na waondoke wakiwa wameridhishwa na huduma hizi" Amesema Mongela


Aidha amewataka wakazi wa mkoa wa Arusha kuwa tayari kupokea wageni wengi na kuendelea kuwasihi watu wote kuchangamkia fursa hiyo kujipatia vipato ili kuinua uchumi wa mtu mmoja mmoja, wa mkoa kwa maendeleo ya Taifa letu.


Mhe. Mongella amethibitisha kuwa Filamu ya Royal Tour iliyofanywa na Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, imeleta mapinduzi makubwa ya kiuchumi kupitia sekta ya Utalii,sekta ambayo ndio muhimili mama wa uchumi wa mkoa na taifa kwa ujumla.


"Kwa niaba ya wananchi wa mkoa wa Arusha, tunaishukuru Serikali ya awamu ya sita, ninamshukuru Mheshimiwa Rais, Mama Samia Suluhu Hassan kwa juhudi kubwa za kufufua Utalii nchini sekta ambayo ilikumbwa na changamoto kubwa wakati wa mlipuko wa ugonjwa wa UVIKO 19

.



Announcements

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • View All

Latest News

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • View All

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
More Videos

Quick Links

  • Guildlines Towards the use of ICT In Government
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Related Links

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Public Servant Portal
  • Takwimu
  • TANAPA

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

Other Contacts

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Sitemap
    • FAQ

Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.