• Complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Arusha Regional

The United Republic of Tanzania President Office Regional Administration and Local Government Arusha Regional

  • Home
  • About Us
    • History
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa mikoa waliopita-Arusha
    • Dira na dhima
    • The basics
    • Strategies
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Units
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • District
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Councils
    • Arusha CC
    • Arusha DC
    • Meru DC
    • Monduli DC
    • Karatu DC
    • Longido DC
    • Ngorongoro DC
  • Investment Opportunities
    • Tourism
    • Livestock
    • Agricultre
    • Industrial
  • Our Service
    • Health
    • Education
    • Water
    • Land
    • Tourism
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events

MKOA WA ARUSHA WAVUKA LENGO LA UANDIKISHAJI WATOTO CHINI YA MIKA 5

Posted on: June 29th, 2022

Mkoa wa Arusha wavuka lengo la Kitaifa katika zoezi la Usajili na Utoaji Vyeti kwa Watoto wenye umri chini ya miaka mitano ambalo lilianza Mwaka  Juni,2021.

Akizungumza katika Kikao hicho cha Tasmini,Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe.John V.Mongella ambaye alikuwa mgeni rasmi amesema Mkoa umevuka lengo la Kitaifa la Usajili na Utoaji Vyeti kwa watoto chini ya miaka mitano baada ya kuweka mikakati madhubuti ya uhamasishaji na ufuatiliaji kuanzia ngazi za Vituo vya Afya kwa mama anapojifungua kupewa cheti rasmi cha mtoto hivyo kupelekea zoezi kufanyika kwa umakini na kuuwezesha Mkoa wa Arusha kufikia 80.2% ya lengo la Kitaifa lililotaka kufika 80% kwa kipindi cha mwaka mmoja toka lizinduliwe mwaka 2021.

"Napenda saana kutoa pongezi kwa Watendaji wote wa Kada ya Afya hususani watoa huduma za Mama na Mtoto kwa jitihada kubwa ya kusajili watoto chini ya miaka mitano hii imetuletea heshima kwa Mkoa wetu wa Arusha." Alisema Mongella

Mhe.Mongella amesema pamoja na mafanikio hayo ya kuvuka lengo la Kitaifa kwa Mkoa wa Arusha bado amewataka Viongozi na Watendaji wa Kada ya Afya kwa pamoja kushirikiana ili kuweza kufikia kengo la uandikishwaji na usajili wa vyeti kwa asilimia 100 ifikapo  Mwezi disemba,2022.

"Nawaagiza Wakurugenzi Watendaji wa Halmashauri kwa kushirikiana Waganga Wakuu wa Wilaya kuhakikisha wanasimamia zoezi hili kwa kutenga fedha ili kuunga na wadau wetu wa UNICEF." Alisema Mongella

Kwa upande wake Naibu Kabidhi Wasii Mkuu wa Serikali Mkoa wa Arusha Bi.Lina ameipongeza Timu ya Watalaam na Halmashauri zote kwa namna walivyoweza kufanya kazi kwa kushirikiana na RITA na UNICEF na kufanikisha zoezi la uandikishaji watoto chini miaka mitano.

Kikao hicho cha siku moja kilihudhuriwa na Wakuu wa Wilaya, Makatibu Tawala,Wakurugenzi wa Halmashauri,Wenyeviti wa Halmashauri ,Mganga Mkuu wa Mkoa,Waganga wa Wakuu wa Wilaya, Waratibu za zoezi la Usajili ambao ni Maafisa Ustwi wa Jamii,Viongozi wa Dini pamoja na Waratibu wa Huduma za Uzazi na Mtoto.

Announcements

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • View All

Latest News

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • View All

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
More Videos

Quick Links

  • Guildlines Towards the use of ICT In Government
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Related Links

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Public Servant Portal
  • Takwimu
  • TANAPA

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

Other Contacts

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Sitemap
    • FAQ

Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.