• Complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Arusha Regional

The United Republic of Tanzania President Office Regional Administration and Local Government Arusha Regional

  • Home
  • About Us
    • History
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa mikoa waliopita-Arusha
    • Dira na dhima
    • The basics
    • Strategies
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Units
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • District
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Councils
    • Arusha CC
    • Arusha DC
    • Meru DC
    • Monduli DC
    • Karatu DC
    • Longido DC
    • Ngorongoro DC
  • Investment Opportunities
    • Tourism
    • Livestock
    • Agricultre
    • Industrial
  • Our Service
    • Health
    • Education
    • Water
    • Land
    • Tourism
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events

MPANGO WA SHULE SALAMA MWAROBAINI WA MDONDOKO WA WANAFUNZI

Posted on: August 18th, 2024

OR-TAMISEMI


Naibu Waziri anayeshughulikia Elimu Mhe. Zainab Katimba amesema Serikali imekuja na Mpango wa Shule Salama kwa shule za Msingi na Sekondari ambao ni shirikishi na jamaii ili kudhibiti mdondoko wa wanafunzi.


Mhe. Katimba ameyasema hayo wakati akifunga mafunzo kwa Wenyeviti wa Bodi za Shule za Sekondari, Maafisa Maendeleo ya Jamii ngazi ya Kata pamoja Maafisa Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii ngazi ya Mkoa kuhusu Mpango wa Shule Salama na Usimamizi wa Usalama wa Jamii katika chuo cha Patandi mkoani Arusha leo tarehe 18.08.2024.


Amesema Serikali imekwishafanya jitihada  za kudhibiti mdondoko wa wanafunzi ikiwa ni pamoja kutoa Elimu bila Ada ili kupunguza vikwazo katika uandikishaji wa wanafunzi, kujenga shule za Msingi na Sekondari karibu na makazi ya wananchi ili kupunguza adha kwa wanafunzi kutembea umbali mrefu, Kuimarisha mifumo ya utambuzi wa wanafunzi ambao wapo kwenye hatari ya kuacha shule, Kuimarisha utaoaji wa huduma na ushauri na unasihi pamoja na Kuandaa Mwongozo wa kuwarejesha Shule Wanafunzi walioacha Shule.


Mhe. Katimba ameongeza kuwa pamoja na jitihada hizo changamoto ya mdondoko wa wanafunzi katika Shule za Msingi na Sekondari haijakwisha kabisa na Kasi ya kupungua kwa idadi ya wanafunzi wanaocha shule haijakwisha kabisa. 


“Uchambuzi wa sababu za kutokwisha kwa mdondoko wa wanafunzi unaonesha kuwa mazingira yasiyo salama kwa wanafunzi wakiwa shuleni na wakati wa kwenda na kurudi shuleni yanachangia kwa kiasi kikubwa kutokushuka kwa kiwango cha mdondoko wa wanafunzi”.


Ili kuweka mazingira ya shule yaliyosalama Serikali iliona ni vyema kuja na mkakati mpya unaojulikana kama Mpango wa Shule Salama katika Shule za Msingi na Sekondari nchini.


Serikali imedhamiria kuboresha mazingira ya ufundishaji na ujifunzaji kwa Kuimarisha ushiriki wa wazazi/walezi na Jamii katika kusimamia ufundishaji na ujifunzaji pamoja na mahudhurio ya wanafunzi’.


Kuimarisha mifumo ya kupokea na kushughulikia malalamiko ya wanafunzi katika Elimu ya Msingi na Sekondari na

Kuimarisha utoaji wa huduma ya Chakula na Lishe kwa wanafunzi wa Shule za Msingi na Sekondari.


Announcements

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • View All

Latest News

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • View All

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
More Videos

Quick Links

  • Guildlines Towards the use of ICT In Government
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Related Links

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Public Servant Portal
  • Takwimu
  • TANAPA

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

Other Contacts

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Sitemap
    • FAQ

Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.