• Complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Arusha Regional

The United Republic of Tanzania President Office Regional Administration and Local Government Arusha Regional

  • Home
  • About Us
    • History
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa mikoa waliopita-Arusha
    • Dira na dhima
    • The basics
    • Strategies
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Units
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • District
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Councils
    • Arusha CC
    • Arusha DC
    • Meru DC
    • Monduli DC
    • Karatu DC
    • Longido DC
    • Ngorongoro DC
  • Investment Opportunities
    • Tourism
    • Livestock
    • Agricultre
    • Industrial
  • Our Service
    • Health
    • Education
    • Water
    • Land
    • Tourism
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events

MWENGE WA UHURU WAPOKELWA ARUSHA

Posted on: July 19th, 2024


Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Arusha na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Mhe. Nurdin Babu akipokea Mwenge wa Uhuru 2024  kutoka kwa Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mhe. Qeen Sendiga kwenye uwanja wa shule ya Msingi Migungani, Kijiji cha Migungani, Kata ya Mbuguni wilaya ya Arumeru asubuhi ya leo Julai 19, 2024.


Mhe. Babu ameweka wazi kuwa, katika mkoa wa Arusha Mwenge wa Uhuru utakimbizwa umbali wa Kilomita 1,189.35 kwenye Wilaya sita na Halmashauri  saba  na kupitia jumla Miradi 65 ya Maendeleo yenye thamani ya shilingi Bilioni 61.6.


Amefafanua kuwa, Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa, Ndugu Godfrey Eliakimu Mnzava ataweka Mawe ya Msingi miradi 18 ya Maendeleo, atafungua mradi 1, atazindua miradi 12 na kue4e4tembelea miradi 34 ya katika sekta za Elimu, Afya, Maji, Miundombinu ya Barabara, Uwezeshaji vijana Kiuchumi, Biashara na Ujasiriamali, Lishe, Klabu za Vijana wapinga Rushwa, Makundi Maalum, Uhifadhi wa Mazingira pamoja na kutoa salamu na ujumbe wa Mwenge wa Uhuru katika halmashauri zote.


Aidha Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru atatembelea Miradi ya Maendeleo iliyowekewa mawe ya msingi na kuzinduliwa na Mbio za Mwenge wa Uhuru mwaka 2023.


Mwenge wa Uhuru 2024, unaadhimisha kumbukizi ya 60 tatu, ikiwa ni pamoja na kuadhimisha Miaka 60 ya Mbio za Mwenge wa Uhuru, Miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar ukihamasisha watanzania wote kuimarisha na kudumisha Umoja na mshikamano kwa kuweka mbele uzalendo na kuilinda tunu ya amani ya nchi ya Tanzania.


Kauli Mbiu ya Mwenge wa Uhuru 2024 ni "Tunza Mazingira, Shiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa ujenzi wa Taifa Endelevu", ukiwa na Jumbe za Kudumu za Mwenge wa Uhuru za Mapambano dhidi ya ugonjwa wa Malari, matumizi ya  Dawa za Kulevya, VVU - UKIMWI na Rushwa sambamba na kuhamasisha wananchi kuzingatia Lishe Bora pamoja na kujiandaa na Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa kujiandikisha kwenye daftari la Wapiga kura.


Announcements

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • View All

Latest News

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • View All

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
More Videos

Quick Links

  • Guildlines Towards the use of ICT In Government
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Related Links

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Public Servant Portal
  • Takwimu
  • TANAPA

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

Other Contacts

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Sitemap
    • FAQ

Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.