Naibu Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Dotto Mashaka Biteko, Naibu Waziri wa afya Dkt. Godwin Mollel na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Christian Makonda wakiwasili kwenye Kituo cha Kimataifa cha mikutano Arusha - AICC leo Oktoba 09, 2024 kwaajili ya kufungua Mkutano wa mwaka wa wataalamu wa Mionzi barani Afrika, Mkutano unaofanyika kwa siku tatu mkoani Arusha.
Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.