• Complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Arusha Regional

The United Republic of Tanzania President Office Regional Administration and Local Government Arusha Regional

  • Home
  • About Us
    • History
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa mikoa waliopita-Arusha
    • Dira na dhima
    • The basics
    • Strategies
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Units
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • District
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Councils
    • Arusha CC
    • Arusha DC
    • Meru DC
    • Monduli DC
    • Karatu DC
    • Longido DC
    • Ngorongoro DC
  • Investment Opportunities
    • Tourism
    • Livestock
    • Agricultre
    • Industrial
  • Our Service
    • Health
    • Education
    • Water
    • Land
    • Tourism
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events

NENDENI MKADHIBITI UTOROSHAJI WA MIFUGO

Posted on: August 24th, 2021

Nendeni mkadhibiti utoroshaji wa Mifugo katika mpaka wa Namanga, ili kuisaidia Serikali kupata mapato na kukuza uchumi.

Yamesemwa hayo na mwenyekiti  Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Arusha Mhe. Zelothe Steven alipokuwa akizungumza na watumishi wa Ofisi za forodha katika kituo  cha mpaka wa Namanga Wilayani Longido.

Serikali inapoteza Mapato mengi kutokana na utoroshaji wa Mifugo katika mpaka huu, hatuko tayari kuona mapato yanaendelea kupotea zaidi.

Wafugaji wanaotaka kusafirisha Mifugo nje ya nchi lazima wafuate sheria, taratibu na kanuni hususani za ulipaji kodi.

Aidha, amemtaka Mkuu wa Wilaya ya Longido Mhe. Nurdin Babu kubaini mtandao huo unaotorosha Mifugo kwani wanahujumu uchumi.

Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. John Mongella amesema Serikali ya awamu ya  sita   imeweka nguvu kubwa katika uwekezaji wa Viwanda, hivyo Serikali ya Mkoa itahakikisha inaweka mazingira wezeshi kwa wawekezaji na kuweka vivutio vya kuwavutia.

Nae, Mkuu wa Wilaya ya Longido Mhe. Nurdin Babu amesema wafugaji hawakatazwi kupeleka Mifugo yao kuuza nje ya nchi bali wanatakiwa watoe ushuru kwa Halmashauri na Serikali kuu.









Announcements

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • View All

Latest News

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • View All

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
More Videos

Quick Links

  • Guildlines Towards the use of ICT In Government
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Related Links

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Public Servant Portal
  • Takwimu
  • TANAPA

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

Other Contacts

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Sitemap
    • FAQ

Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.