• Complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Arusha Regional

The United Republic of Tanzania President Office Regional Administration and Local Government Arusha Regional

  • Home
  • About Us
    • History
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa mikoa waliopita-Arusha
    • Dira na dhima
    • The basics
    • Strategies
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Units
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • District
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Councils
    • Arusha CC
    • Arusha DC
    • Meru DC
    • Monduli DC
    • Karatu DC
    • Longido DC
    • Ngorongoro DC
  • Investment Opportunities
    • Tourism
    • Livestock
    • Agricultre
    • Industrial
  • Our Service
    • Health
    • Education
    • Water
    • Land
    • Tourism
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events

NENDENI UKADHIBITI UPOTEVU WA MAPATO KWA MFUMO POS

Posted on: November 11th, 2021

Karibu Tawala wa Mkoa wa Arusha Dkt. Athumani Kihamia amewataka maafisa TEHEMA kuendelea kutumia mashine za kukusanya mapato(POS) katika maeneo yao.

Ameyasema hayo alipokuwa akifungua mafunzo ya matumizi ya mashine za kukusanya mapato (POS) kwa ngazi ya Mikoa na Halmashauri kutoka Mikoa 4 ya Kanda ya Kaskazini, Jijini Arusha.

Amewataka wakahakikishe fedha zote zinazokusanywa na mfumo huo zinawekwa benki kwa wakati.

Aidha, amekemea vikali vitendo vya baadhi ya wakusanya mapato kutoka ngazi za msingi na kwenye vituo mbalimbali vya kukusanya mapato hayo kutokuwa waaminifu kwa  kutopeleka fedha wanazokusanya  benki kwa wakati, au zikiwa pungufu na wengine kutopeleka  kabisa.

Dkt. Kihamia amewataka maafisa hao kuhakikisha wanapata elimu ya kutatua changamoto zote hizo ili wanaporudi kwenye vituo vyao vya kazi wakazitatue kwa haraka zaidi.

Akizungumzia lengo kubwa la mafunzo hayo Mkurugenzi wa TEHEMA kutoka ofisi ya Rais TAMISEMI  Erick Kitali amesema, mafunzo hayo yatakuwa niyakukumbushana majukumu ya maafisa TEHEMA hao ili wasiingiliane na taaluma vyingine katika utendaji wao wa kazi.

Pia, watafundisha namna ya kutatua changamoto za udanganyifu katika ukusanyaji wa mapato  kwa  kutumia mfumo huo wa POS.

Mafunzo hayo yamejumuisha  maafisa TEHEMA 211 kutoka ya Arusha, Tanga, Kilimanjaro na Manyara pamoja na Halmashauri zake na yanatarajiwa kufanyika kwa siku 2.


Announcements

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • View All

Latest News

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • View All

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
More Videos

Quick Links

  • Guildlines Towards the use of ICT In Government
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Related Links

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Public Servant Portal
  • Takwimu
  • TANAPA

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

Other Contacts

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Sitemap
    • FAQ

Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.