Rais Mstaafu wa Serikali ya nne na Mjumbe wa Baraza la Kutokomeza Malaria Duniani, Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili kwenye Kituo cha Utafiti cha Africa Technical Research Center na kupokelea na Mkurugenzi Mkuu wa Kiwanda cha A-Z Tanzania Ltd Kalpesh Shaha na uongozi wa kiwanda hicho,
jijini Arusha leo Aprili 13, 2024
Rais Mstaafu wa Serikali ya nne na Mjumbe wa Baraza la Kutokomeza Malaria Duniani, Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akipokea maelekezo kutoka kwa mkemia wa maabara ya kutengenza dawa za kuulia mbu wanaoambukiza ugonjwa wa malari, Kituo cha Utafiti cha Africa Technical Research Center na kupokelea na Mkurugenzi Mkuu wa Kiwanda cha A-Z Tanzania Ltd, Kalpesh Shaha na uongozi wa kiwanda hicho,
jijini Arusha leo Aprili 13, 2024
Rais Mstaafu wa Serikali ya nne na Mjumbe wa Baraza la Kutokomeza Malaria Duniani, Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akipokea maelekezo kutoka kwa Mkemia wa kituo cha Utafiti Africa Technical Center Festo Nicas Lasway namna ya kupima kiasi chaa dawa yenye uwezo wa kuua mbu, wakati Dkt Jakaya alipotemhelea kituoni hapo leo Aprili 13, 2024.
Rais Mstaafu wa Serikali ya nne na Mjumbe wa Baraza la Kutokomeza Malaria Duniani, Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikagua kiwanda cha kuzalisha vyandarua cha A-Z Tanzania Ltd cha Jijini Arusha leo Aprili 13, 2024
Mkurugenzi Mkuu wa Kiwanda cha A-Z, Kalpesh Shariha akimpa maelezo Rais Mstaafu wa Serikali ya nne na Mjumbe wa Baraza la Kutokomeza Malaria Duniani, Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe mama Salma Kikwete nama ya uzalishaji wa vyandarua alipotembelea kiwanda cha A- Z Tanzania Ltd, Jijini Arusha leo Aprili 13, 2024
Mkurugenzi kiwanda cha A-Z Tanzania Ltd Binesh Haria akimueonesha Rais Mstafu wa Serikali ya Awamu ya nne na Mjumbe wa Baraza la kutokomeza Malaria Duniani Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete, jinsi yandarua vinayofungashwa tayari kwa kupelekwa kwa wateja, jijini Arusha leo Aprili 13, 2024
Rais Mstaafu wa Serikali ya nne na Mjumbe wa Baraza la Kutokomeza Malaria Duniani, Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiangalia namna vyandarua vinavyofungwa kwenye marobota tayari kwa kusafirishwa wakati kiwanda cha kuzalisha vyandarua cha A-Z Tanzania Ltd cha Jijini Arusha leo Aprili 13, 2024
Rais Mstaafu wa Serikali ya nne na Mjumbe wa Baraza la Kutokomeza Malaria Duniani, Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na Mkewe mama Salma Kikwete wakiwa ndani ya chandarua kilichokamilika tayari kwa matumizi walipotembelea kiwanda cha kuzalisha vyandarua cha A-Z , Jijini Arusha leo Aprili 13, 2024
Rais Mstaafu wa Serikali ya nne na Mjumbe wa Baraza la Kutokomeza Malaria Duniani, Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na Mkewe mama Salma Kikwete wakiangalia nembo inayowekwa kwenye chandarua mara baada ya kukamilika tayari kwa kuuzwa kwa matumizi, walipotembelea kiwanda cha kuzalisha vyandarua cha A-Z Tanzania Ltd, Jijini Arusha leo Aprili 13, 2024
Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.