Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan akimshukuru na Kumpongeza Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Christian Makonda kwa namna alivyochagiza shamrashamra za Miaka 25 ya Jumuiya ya Afrika Mashariki.Rais Samia ametoa pongezi hizo kwenye Mkutano wa Wakuu nane wa nchi za EAC wanaokutana Jijini Arusha kuadhimisha miaka 25 ya Jumuiya hiyo.
Ikulu Mawasiliano Ikulu Tanzania Ikulu habari Zanzibar Samia Suluhu Kwanza Makonda Rc Paul Elinipa Lupembe East African Community
Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.