Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan amewasiri Mkoani Arusha kwa ajili ya kuhudhuria mkutano wa 22 wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashiriki.
Mkutano huo unatarajiwa kufanyika Julai 22,2022 na kuhudhuria na Marais wote 7 wa Jumuiya hiyo.
Sambamba na mkutano huo Marais hao wanatarajiwa kuzindua Barabara ya Afrika Mashariki ( By Pass) katika eneo la TPRI Mlinga estate.
Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.