Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na wananchi wa Tengeru Wilayani Arumeru Mkoani Arusha punde baada ya kuwasilini Mkoani humo.
Mhe.Samia yupo Mkoani Arusha kwa ajili ya kuadhimisha kilele cha siku ya kupiga vita dawa za kulevya ,ambayo yanafanyika Kitaifa Mkoani Arusha katika viwanja vya Sheikh Amri Abeid Juni 25,2023.
Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.