HAFLA YA UTIAJI SAINI MIKATABA YA UWEKEZAJI BANDARI YA DAR ES SALAAM
"Serikali kwa upande wake ilisikiliza michango na maoni mbalimbali iliyotolewa nanchama cha Wanasheria Tanganyika, vyama vya Siasa, ASAS za Kirahia,Wanaharakati Huru, vyombo vya habari na pia tuliangalia maoni katika mitandao ya kijamii, tumewasikiliza viongozi wetu wa dini na baadhi ya viongozi wetu Wastaafu; tumefuatilia kwa karibu sana hoja za Waheshimiwa Wabunge wakati wanakujadili na kupitisha Azimio la Bunge la kuridhia makubaliano ya awali ya ushirikiano wa uendelezaji wa Bandari kati ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mamlaka ya Dubai" Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan
Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.