• Complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Arusha Regional

The United Republic of Tanzania President Office Regional Administration and Local Government Arusha Regional

  • Home
  • About Us
    • History
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa mikoa waliopita-Arusha
    • Dira na dhima
    • The basics
    • Strategies
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Units
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • District
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Councils
    • Arusha CC
    • Arusha DC
    • Meru DC
    • Monduli DC
    • Karatu DC
    • Longido DC
    • Ngorongoro DC
  • Investment Opportunities
    • Tourism
    • Livestock
    • Agricultre
    • Industrial
  • Our Service
    • Health
    • Education
    • Water
    • Land
    • Tourism
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events

RAS ARUSHA AKAGUA MRADI WA UJENZI WA SHULE MPYA YA SEKONDARI YA KATA YA SEELA SING'ISI...

Posted on: November 29th, 2023

.Katibu Tawala mkoa wa Arusha, Missaile Albano Musa, ametembelea na kukagua maendeleo ya mradi wa ujenzi wa shule mpya ya Sekondari kata ya Seela Sing'isi, halmashauri ya Meru.


Katibu Tawala huyo, amemuagiza Mkurugenzi Mtendaji, halmashauri ya Meru,  uongozi wa kukamilisha mradi huo kabla ya tarehe 10 Desemba, 2023, na kuahidi kurudi kukagua mara baada ya tarehe hiyo kufika.


"Ninakuagiza Mkurugenzi na timu yako, hakikisheni mradi huu, unakamilika kabla ya tarehe 10 Desemba, ukiwa na ubora unaozingatia thamani ya pesa, na kukiwa na samani zote zilizoelekezwa kwenye mradi". Amesisitiza Musa.


Akiwasilisha taarifa ya mradi huo, Mkuu wa shule ya Sekondari Sing'isi, Mwl. Datus Muganga, amesema kuwa, mradi huo unatekelezwa na Serikali kwa gharama ya shilingi milioni 584.2, kupitia mpango wa kuboresha Miundombinu ya Elimu Sekondari nchini (SEQUIP).


Ameongeza kuwa, mradi unajumuisha ujenzi wa Jengo la Utawala, vyumba 8 vya madarasa, Maabara tatu za masomo ya Sayansi, Maktaba, Chumba cha TEHAMA na matundu ya vyoo vya wavulana, wasichana na wenye mahitaji maalum, tanki la kuhifadhia maji na kichomea taka.


Awali, Ujenzi wa majengo ya shule za sekondari nchini, licha  ya kuwa na mazingira rafiki na wezeshi yatakayopunguza kupunguza msongamano wa wanafunzi shuleni, zaidi ni maandalizi ya kupokea wanafunzi watakaopangiwa kujiunga na kidato cha kwanza mwaka 2024


Ikumbukwe kuwa, uboreshaji wa miundombinu ya shule za serikali, ni utekelezaji wa Ilani ua chama cha Mapinduzi ya mwaka 2020 - 2025

Announcements

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • View All

Latest News

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • View All

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
More Videos

Quick Links

  • Guildlines Towards the use of ICT In Government
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Related Links

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Public Servant Portal
  • Takwimu
  • TANAPA

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

Other Contacts

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Sitemap
    • FAQ

Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.