Mkuu wa Mkoa wa Arusha Idd Hassan Kimanta amempokea Kamanda wa Polisi (RPC) mpya Kamishina Msaidizi wa Polisi Salumu Rashid Hamdini kama mkuu wa Polisi mpya katika Mkoa wa Arusha,mapema leo hii.
Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.