Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Iddi H. Kimanta akipokea vifaa Tiba kutoka kwa askofu wa kabisa la Calval Assemblies of God Tifan Homan la Jijini Arusha.
Vifaa hivyo vimetolewa kwa ajili ya kusaidia katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Mt.Meru na vimegharimu zaidi ya Milioni 2.
Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.