• Complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Arusha Regional

The United Republic of Tanzania President Office Regional Administration and Local Government Arusha Regional

  • Home
  • About Us
    • History
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa mikoa waliopita-Arusha
    • Dira na dhima
    • The basics
    • Strategies
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Units
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • District
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Councils
    • Arusha CC
    • Arusha DC
    • Meru DC
    • Monduli DC
    • Karatu DC
    • Longido DC
    • Ngorongoro DC
  • Investment Opportunities
    • Tourism
    • Livestock
    • Agricultre
    • Industrial
  • Our Service
    • Health
    • Education
    • Water
    • Land
    • Tourism
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events

RC MAKONDA AAGIZA JENGO JIPYA LA ABIRIA UWANJA WA NDEGE ARUSHA KUANZA KUTUMIKA SEPTEMBA MOSI, 2024.

Posted on: August 17th, 2024

Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Christian Makonda, ameagiza kukamilika haraka kwa ujenzi wa jengo la abiria kwenye uwanja wa ndege wa Arusha eneo la Kisongo, kabla ya Septemba01,2024 ili liweze kutoa huduma kwa abiria wanaotumia uwanja huo.


Mhe. Makonda ametoa agizo hilo, alipotembelea na kukagua maendeleo ya mradi wa ujenzi wa jengo hilo la abiria mapema leo  Agosti 16, 2024, jengo  lenye uwezo wa kuhudumia takribani abiria 1000 kwa wakati, ukilinganisha na jengo la zamani lililokuwa na uwezo wa kuhudumia abiria 150 pekee.


"Shauku yetu sisi wananchi wa Mkoa wa Arusha ni kuhakikisha uwanja wetu unafanya kazi kwa saa 24 na wale wenye ndege zao binafsi waweze kutumia uwanja huu, ili kutimiza azma ya Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ambaye lengo lake ni kuufungua mji wa Arusha na kuongeza hamasa ya watalii kuja nchini mwetu." amesema Mhe. Makonda.


Hata hivyo, Mhe. Makonda ameagiza kutumika kwa teknolojia katika utoaji wa huduma kwa abiria wanaotumia uwanja huo pamoja na kuweka miundombinu ya kutangaza utalii wa Arusha, ili kuvutia zaidi watalii wanaofika Mkoani hapa kuweza kutembelea vivutio vinavyopatikana na mkoani Arusha na mikoa ya pembezoni.


Naye Meneja Kiwanja hicho, amsema Kiwanja hicho ni miongoni mwa viwanja vyenye miruko mingi ya ndege nchini ikilinganishwa na viwanja vingine hivyo Upanuzi wa kiwanja hicho utafikia lengo na mahitaji ya abiria.


Announcements

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • View All

Latest News

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • View All

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
More Videos

Quick Links

  • Guildlines Towards the use of ICT In Government
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Related Links

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Public Servant Portal
  • Takwimu
  • TANAPA

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

Other Contacts

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Sitemap
    • FAQ

Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.