Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mhe. Paul Christian Makonda akisikiliza kutoka kwa baadhi ya wananchi, waliofika kwenye ofisi ya Mkuu wa Mkoa huo, wakati wa oparesheni Rejesha Haki kwa wananchi waliodhulumiwa Arusha, kwenye viwanja vya ofisi ya mkuu wa mkoa huo mapema leo Mei 08, 2024
Katika Wiki ya Haki, Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Christian Makonda ameanza operesheni rejesha Haki kwa Wananchi waliodhulumiwa, inayowakutanisha wananchi wenye Kero na wataalam wa sekta zote wa Mkoa wa Arusha kwaajili ya kusikiliza na kutatua kero za wananchi.
Ikumbukwe kuwa, operesheni hiyo itafanyika kwa siku tatu mfululizo kuanzia tarehe 08 -10 Mei, 2024.
Ofisi ya Rais - Tamisemi Ikulu Mawasiliano Samia Suluhu Kwanza Ofisi ya Makamu wa Rais Ofisi ya Waziri Mkuu
Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.