Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Christian Makonda @baba_keagan akizungumza na Balozi Daniel Ole Njoolay aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, walipokutana kwenye uwanja wa ndege wa arusha leo Septemba 27, 2024 wakati Mhe. Makonda akikagua utoaji wa huduma kwenye Jengo jipya la abiria uwanjani hapo.
Balozi Ole Njoolay amewahi kuhudumu kama Balozi wa Tanzania nchini Nigeria pamoja na kuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi ya Mpango wa Kurasimisha Rasilimali na biashara za Wanyonge Tanzania maarufu kama MKURABITA.
Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.