RC MAKONDA AKUTANA NA WADAU WA SEKTA YA UTALII ARUSHA
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Makonda amekutana na wadau wa sekta ya Utalii mkoa wa Arusha na kufanya nao kikao chenye lengo la kusikiliza kero na changamoto zinazoikabili sekta hiyo, kikao kilichofanyika kwenye Ukumbi wa Mkuu wa Mkoa Arusha, mapema leo Aprili 13, 2024
Wadau wa sekta ya Utalii wakiwa kwenye kikao cha Wadau wa sekta hiyo Mkoa wa Arusha, kilichofanyika kwenye Ukumbi wa Mikutano Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha leo Aprili 13, 2024.
Wadau wa sekta ya Utalii wakiwa kwenye kikao cha Wadau wa sekta hiyo Mkoa wa Arusha, kilichofanyika kwenye Ukumbi wa Mikutano Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha leo Aprili 13, 2024.
Watalamu na vikosi vya Usalama wakiwa kwenye kikao cha Wadau wa Utalii wa Mkoa wa Arusha, kilichofanyika kwenye Ukumbi wa Mikutano Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha leo Aprili 13,2024.
Viongozi, watalamu na wadau wa Utalii wakiwa kwenye kikao cha Wadau wa Utalii wa Mkoa wa Arusha, kilichofanyika kwenye Ukumbi wa Mikutano Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha leo Aprili 14,2024.
Mdau wa Utalii akitoa maoni yake kwenye kikao cha Wadau wa Utalii wa Mkoa wa Arusha, kilichofanyika kwenye Ukumbi wa Mikutano Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha leo Aprili 14,2024.
Mkurugenzi wa Jiji la Arusha, Mhandisi Juma Hamsini akizungumza kwenye kikao cha Wadau wa Utalii wa Mkoa wa Arusha, kilichofanyika kwenye Ukumbi wa Mikutano Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha leo Aprili 14,2024.
Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.