• Complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Arusha Regional

The United Republic of Tanzania President Office Regional Administration and Local Government Arusha Regional

  • Home
  • About Us
    • History
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa mikoa waliopita-Arusha
    • Dira na dhima
    • The basics
    • Strategies
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Units
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • District
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Councils
    • Arusha CC
    • Arusha DC
    • Meru DC
    • Monduli DC
    • Karatu DC
    • Longido DC
    • Ngorongoro DC
  • Investment Opportunities
    • Tourism
    • Livestock
    • Agricultre
    • Industrial
  • Our Service
    • Health
    • Education
    • Water
    • Land
    • Tourism
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events

RC MAKONDA AKUTANA NA WAZIRI MBARAWA, RELI YA KASKAZINI KUBORESHWA ILI KUIMARISHA UTALII.

Posted on: January 8th, 2025

Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Christian Makonda leo Jumatano Januari 08, 2024 amekutana na kuzungumza na Waziri wa Uchukuzi, Mhe. Prof. Makame Mnyaa Mbarawa ambapo Waziri Mbarawa ameridhia ombi la Mhe. Makonda la kuboresha reli ya Kaskazini (Tanga-Arusha) katika kuboresha huduma za Utalii Mkoani Arusha kwa kupunguza foleni.



Katika mazungumzo yao, Mhe. Makonda mbali ya kusema kuwa sekta ya uchukuzi ni muhimu kwenye kukuza na kuimarisha utalii Mkoani Arusha, amesema kuboreshwa reli hiyo pamoja na kujengwa kwa bandari kavu Mkoani Arusha kutaondoa wingi wa malori ya mizigo barabarani pamoja na kusaidia katika matunzo ya barabara katika kuzisaidia kudumu muda mrefu zaidi.



Kulingana na Mhe. Mbarawa, Arusha ni Mkoa muhimu kwa Utalii na uchukuzi ukiwa wa tatu kwa miruko ya ndege nchini Tanzania, akiahidi kuendelea kushirikiana na serikali ya Mkoa katika kufanikisha utekelezaji wa ilani ya Chama Cha Mapinduzi CCM ikiwemo kusimamia maboresho ya uwanja wa ndege wa Arusha, unaotarajiwa kuanza kufungwa taa hivi karibuni ambapo Serikali ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan tayari imeshatenga Bilioni 11 za kufunga taa kwenye uwanja huo wa ndege Arusha.


Announcements

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO MTIHANI WA UTAMIRIFU (MOCK) 2025 DARASA LA SABA (VII)- MKOA WA ARUSHA June 07, 2025
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • View All

Latest News

  • KARIBU ARUSHA Mhe. KENAN LABAN KIHONGOSI MKUU WA MKOA WA ARUSHA

    June 26, 2025
  • KARIBU ARUSHA Mhe. KENAN LABAN KIHONGOSI MKUU WA MKOA WA ARUSHA

    June 26, 2025
  • SIKU YA KWANZA; WAKAZI WA ARUSHA WAJITOKEZA KWENYE KAMBI YA MADAKTARI BINGWA NA MABINGWA WABOBEZI

    June 23, 2025
  • RC MAKONDA ASHIRIKI MARATHON YA KKKT 2025

    June 21, 2025
  • View All

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
More Videos

Quick Links

  • Guildlines Towards the use of ICT In Government
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Related Links

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Public Servant Portal
  • Takwimu
  • TANAPA

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

Other Contacts

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Sitemap
    • FAQ

Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.