• Complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Arusha Regional

The United Republic of Tanzania President Office Regional Administration and Local Government Arusha Regional

  • Home
  • About Us
    • History
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa mikoa waliopita-Arusha
    • Dira na dhima
    • The basics
    • Strategies
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Units
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • District
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Councils
    • Arusha CC
    • Arusha DC
    • Meru DC
    • Monduli DC
    • Karatu DC
    • Longido DC
    • Ngorongoro DC
  • Investment Opportunities
    • Tourism
    • Livestock
    • Agricultre
    • Industrial
  • Our Service
    • Health
    • Education
    • Water
    • Land
    • Tourism
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events

RC MAKONDA AMEWATAKA WANAFUNZI CHUO CHA MAENDELEO YA JAMII TENGERU KUWEKA BIDII KWENYE MASOMO..

Posted on: May 29th, 2024

Na Elinipa Lupembe


Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Christian Makonda amewasihi wanafunzi wa chuo cha Maendeleo ya Jamii Tengeru (TICD) wilaya ya Arumeru kuwa na nidhamu na kuzingatia masomo kwa kuwa Serikali inawategemea kuja kulitumikia Taifa lao kwa utalamu watakaoupata chuoni hapo.


Mhe. Makonda ametoa rai hiyo, mara baada ya wanafunzi hao kuishukuru Mhe. Rais  Dkt. Samia Suluhu Haszan kwa kuwaongezea fedha za matumizi 'boom' pamoja kuboresha miundombinu ya chuo hicho, wakati mkuu huyo wa mkoa alipotembelea chuoni hapo na kupata wasaa wa kuzungumza na wanachuo hao, ikiwa ni sehemu ya ziara yake ya kukagua utekelezaji wa shughuli za maendeleo mapema leo Mei 29, 2024,  inayokwenda kwa jina la 'Siku 6 za Moto Arusha'.


 Ameweka wazi kuwa, Serikali ya awamu ya sita imewekeza fedha nyingi kwa ajili ya kuhakikisha wanafunzi wanasoma kwenye mazingira rafiki huku ikiwa na tegemeo la kupata watalamu wa fani hiyo muhimu kwa maendeleo ya Jamii ya watanzania huku akiwatia moja kuweka juhudi kwenye masomo kwa kujiamini na kuwa na nidhamu  ya hali ya juu.


"Nimekuja hapa kwa lengo la kusalimiana nanyi kama wakazi wa Arusha, nikiwa kama mkuu wenu wa mkoa pamoja na kuwashukuru kwa uzalendo wenu mnaojitoa kila mara kwenye matukio ya kimkoa, ninachotaka wanafunzi wote mjiamini, muwe na nidhamu itakayowapa nafasi ya kuweka mipango yenu thabiti ya maisha yenu ya baadaye, niwahakikishie mnasoma kwenye mkoa mzuri, mkoa wa watu wenye hela na mkoa wanaoishi wajanja msitamani kuondoka Arusha". Amesema Mhe. Makonda


Aidha, amesema kuwa kila mwananchuo anatakiwa kuwa na malengo ya kuja kulitumikia taafa lake huku akijipanga kufaidi matunda ya nchi yake, na kuhakikisha  na kuwasisitiza umuhimu wa kupambana katika kutimiza ndoto zao kwa kuwasimulia historia ya Maisha yake na namna alivyofanikiwa kutimiza malengo aliyokuwa nayo.


Hata hivyo amewaahidi kufanya tamasha la vyuo vyote vya elimu ya kati na juu vya mkoa wa Arusha, tamasha ambalo litatoa futsa ya kila chuo kuonyesha ubunifu wa kazi wanazozifanya kwenye vyuo vyao na baadaye  kufanya bonanza la shangwe kwa pamoja.

Announcements

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • View All

Latest News

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • View All

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
More Videos

Quick Links

  • Guildlines Towards the use of ICT In Government
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Related Links

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Public Servant Portal
  • Takwimu
  • TANAPA

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

Other Contacts

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Sitemap
    • FAQ

Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.