• Complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Arusha Regional

The United Republic of Tanzania President Office Regional Administration and Local Government Arusha Regional

  • Home
  • About Us
    • History
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa mikoa waliopita-Arusha
    • Dira na dhima
    • The basics
    • Strategies
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Units
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • District
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Councils
    • Arusha CC
    • Arusha DC
    • Meru DC
    • Monduli DC
    • Karatu DC
    • Longido DC
    • Ngorongoro DC
  • Investment Opportunities
    • Tourism
    • Livestock
    • Agricultre
    • Industrial
  • Our Service
    • Health
    • Education
    • Water
    • Land
    • Tourism
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events

RC MAKONDA ASISITIZA UMUHIMU WA KUFUATA TARATIBU NA KUHUDHURIA VIKAO VYA SERIKALI ZA MITAA.

Posted on: April 15th, 2025

Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe.Paul Christian Makonda amesisitiza umuhimu wa wananchi wa Mkoa wa Arusha kudumisha na kutunza amani na utulivu mkoani hapa, akiwataka kufuata taratibu pale panapotokea migogoro ama sintofahamu za kiutendaji kwenye maeneo yao.



Akizungumza na wananchi wa Mtaa wa Longdon- Mazengo Kata ya Sokoni One leo Jumanne Aprili 15, 2025, Mhe. Makonda pia amewahimiza kuwa na utamaduni wa kuhudhuria vikao kati yao na Viongozi wa maeneo yao, ili kujua mipango ya Maendeleo katika maeneo yao sambamba na kuwasilisha kwa viongozi wao changamoto mbalimbali zinazowakumba.



"Linapotokea jambo fuateni utaratibu wa kuwafuata viongozi wa serikali sambamba na kushiriki kwenye vikao vyote vya msingi ili kusikiliza na kutoa maoni kuhusu maendeleo katika maeneo yenu badala ya kuandamana na kujitangaza hali inayoweza kuleta taharuki na kuchafua taswira ya Mkoa wetu.Mkitumia utaratibu unaofahamika na taarifa zikanifikia nitashughulika na kila mmoja anayehusika kukwamisha shughuli za maendeleo." Amesema Mhe. Makonda.



Mhe. Makonda amefanya ziara hiyo leo mahususi kwaajili ya kuwasikiliza wananchi hao ambao wamekuwa wakilalamika kuhusu kivuko kichopo katika mtaa huo akiahidi kuwa serikali inaendelea na jitihada mbalimbali za kuhakikisha kuwa miundombinu ya Mkoa wa Arusha inakuwa sawa na yenye kupitika kwa nyakati zote.


Announcements

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO MTIHANI WA UTAMIRIFU (MOCK) 2025 DARASA LA SABA (VII)- MKOA WA ARUSHA June 07, 2025
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • View All

Latest News

  • KARIBU ARUSHA Mhe. KENAN LABAN KIHONGOSI MKUU WA MKOA WA ARUSHA

    June 26, 2025
  • KARIBU ARUSHA Mhe. KENAN LABAN KIHONGOSI MKUU WA MKOA WA ARUSHA

    June 26, 2025
  • SIKU YA KWANZA; WAKAZI WA ARUSHA WAJITOKEZA KWENYE KAMBI YA MADAKTARI BINGWA NA MABINGWA WABOBEZI

    June 23, 2025
  • RC MAKONDA ASHIRIKI MARATHON YA KKKT 2025

    June 21, 2025
  • View All

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
More Videos

Quick Links

  • Guildlines Towards the use of ICT In Government
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Related Links

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Public Servant Portal
  • Takwimu
  • TANAPA

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

Other Contacts

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Sitemap
    • FAQ

Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.