Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Christian Makonda ametembelea maeneo yaliyokumbwa na mafuriko eneo la Bwawani mtaa wa Magafi wilaya ya Karatu mchana wa leo Mei 24, 2024.
Mhe. Makonda yuko wilayani Karatu kwa ziara ya kikazi maarufu kama Siku 6 za Moto mkoani Arusha kwa lengo la kukagua miradi ya maendeleo pamoja na kuzungumza na wananchi kwenye Mkutano wa Hadhara pamoja na kusikiliza kero na malalamiko ya wananchi.
#arushanautaliitalii
Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.