Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe.Paul Christian Makonda anawatakia Waislam na wananchi wote wa Mkoa wa Arusha kila la kheri kwenye Sikukuu ya Eid _Al _ Fitr na kuwataka kusherehekea kwa amani na utulivu huku wakidumisha umoja na ushirikiano wa Taifa la Tanzania
Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.