Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mhe. Paul Christian Makonda, akiwasalimu wananchi wa Kiji cha enguika na kata ya Monduli Juu, waliofika kwenye Ibada ya Kumbukumbu ya Miaka 40 ya Kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu Hayati Edward Moringe Sokoine iliyofanyika nyumbani kwake Enguik, leo tarehe 12 Aprili, 2024
Mheshimiwa Rais, Dkt.Samia Suluhu Hassan amewaongoza Watanzania kushiriki ibada hiyo Maalum, iliyoongozwa Askofu wa Jimbo Kuu Katoliki Arusha Askofu Issac Aman.
Awali, Hayati Edward Moringe Sokoine alifariki tarehe 12 Aprili, 1984 ambaye sasa imetimia miaka 40 ya kifo chake.
#arushafursalukuki
Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.