• Complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Arusha Regional

The United Republic of Tanzania President Office Regional Administration and Local Government Arusha Regional

  • Home
  • About Us
    • History
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa mikoa waliopita-Arusha
    • Dira na dhima
    • The basics
    • Strategies
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Units
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • District
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Councils
    • Arusha CC
    • Arusha DC
    • Meru DC
    • Monduli DC
    • Karatu DC
    • Longido DC
    • Ngorongoro DC
  • Investment Opportunities
    • Tourism
    • Livestock
    • Agricultre
    • Industrial
  • Our Service
    • Health
    • Education
    • Water
    • Land
    • Tourism
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events

RC MONGELLA AKAGUA MAENDELEO YA UJENZI WA SHULE YA MSINGI KORONGONI...

Posted on: December 22nd, 2023


Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mhe. John V.K Mongella, ametembelea na kukagua mradi wa ujenzi wa shule ya Msingi Korongoni kata ya Lemara, Jiji la Arusha, ikiwa ni  maandalizi ya mapokezi ya wanafunzi, kwa mwaka wa masomo unaotarajia kuanza Januari, 2024.


Mhe. Mongella amewaagiza viongozi na wasimamizi wa mradi huo, kuongeza kasi ya ujenzi, ili mradi huo ukamilike kwa wakati na kwa viwango vinavyokusudiwa.


Akiwasilisha Taarifa ya mradi huo, Mwalimu Mkuu shule ya Msingi Korongoni, Mwl. Itika Kirango amesema kuwa, mradi huo, unategemea kutekelezwa wa gharama ya shilingi milioni 765, ambapo utekelezaji wake unafanyika kwa awamu, kadri fedha zinavyopatikana kupitia fedha za mapato ya ndani ya halmashauri, ukijumuisha ujenzi wa jengo la ghorofa.


Aidha, awamu ya kwanza utekelezaji imefanyika kwa mwaka wa fedha 2022/2023, kwa kujenga msingi wa jengo la ghorofa  sakafu ya chini yenye vyumba 4 vya madarasa na matundu ya vyoo 11 kwenye sakafu ya kwanza, kwa gharama ya shilingi milioni 365.


Awamu ya pili ya ujenzi, imegharimu shilingi milioni 400, ambazo zinaendeleza ujenzi kwa sakafu ya kwanza na ya pili, inayojumuisha vyumba 8 vya madarasa na matundu ya vyoo 22, mradi unaotekelezwa kwa fedha za mwaka wa fedha 2023/24.


Announcements

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • View All

Latest News

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • View All

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
More Videos

Quick Links

  • Guildlines Towards the use of ICT In Government
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Related Links

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Public Servant Portal
  • Takwimu
  • TANAPA

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

Other Contacts

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Sitemap
    • FAQ

Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.