Na Elinipa Lupembe
Mkuu wa mkoa wa Arusha, Mhe. V.K.Mongella akikagua mradi wa ujenzi wa shule mpya ya Sekondari ya wasichana Orbomba wilaya ya Longido, shule inayojengwa na Serikali kupitia programu ya Kuboresha Miundombinu ya Shule za Sekondari nchini (SEQUIP).
Shule ya sekondari yawasichana Orbamba inajengwa maalum kwa ajili ya masomo ya Sayansi ikiwa na lengo la kuhamasisha wasichana kusoma masomo ya Sayansi pamoja na kuongeza idadi ya watalamu wa Sayansi wanawake.
Kiasi hicho cha fedha kitajumuisha ujenzi wa vyumba 12 vya madarasa, mabweni 8, Maabara 2 za masomo ya Sayansi, jengo la Utawala, nyumba mbili za walimu, Maktaba, chumba cha TEHAMA, chumba cha wagonjwa pamoja na matundu 12 ya vvyoo
#ArushaFursaLukuki
#KaziInaendelea
Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.