Rais wa Hungary Mhe. Katalin Novàk amewasilini Mkoani Arusha kwa ajili ya ziara ya kikazi kwa siku mbili na kupokelewa na mwenyewe wake Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. John Mongella, katika Kiwanja cha ndege cha Kimataifa Kilimanjaro.
Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.