Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. John V.K.Mongella, ameunga na waombolezaji wengine kwenye Ibada Maalum kuaga mwili wa aliyewahi kuwa Katibu Mwenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Marehemu Gerald Eliaika Munisi, iliyofanyika kwenye Kanisa la KKKT Usharika wa Sombetini, jijini Arusha leo Machi 15, 2024.
Marehemu Gerald Munisi, alifariki dunia tarehe 10 Machi, 2024 kwenye hospitali ya Taifa Muhimbili alikokuwa akipatiwa matibabu na anatarajiwa kuzikwa kesho tarehe 16 Machi, 2024 nyumbani kwao Babati, mkoani Manyara.
Bwana Alitoa, Bwana Ametwaa jina lake libarikiwe
Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.