Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mhe.John V.K Mongella, amefika nyumbani kwa Waziri Mkuu Mstaafu, Hayati Edward Ngoyai Lowassa na kusaini kitabu cha Maombelezo, nyumbani kwake eneo la Ngarashi wilaya ya Monduli.
Hayati Edward Ngoyai Lowassa, amefariki dunia februari 10, 2024, na anatarajiwa kuzikwa nyumbani kwake Monduli Februari 17, 2024
Rais wa Jamhuri ya Muungamo wa Tanzania Mhe. Dkt.Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kuongoza watanzania katika mazishi ya hayati Edward Lowassa.
Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.