• Complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Arusha Regional

The United Republic of Tanzania President Office Regional Administration and Local Government Arusha Regional

  • Home
  • About Us
    • History
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa mikoa waliopita-Arusha
    • Dira na dhima
    • The basics
    • Strategies
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Units
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • District
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Councils
    • Arusha CC
    • Arusha DC
    • Meru DC
    • Monduli DC
    • Karatu DC
    • Longido DC
    • Ngorongoro DC
  • Investment Opportunities
    • Tourism
    • Livestock
    • Agricultre
    • Industrial
  • Our Service
    • Health
    • Education
    • Water
    • Land
    • Tourism
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events

RC MONGELLA AZINDUA CHANJO YA UVIKO 19

Posted on: August 3rd, 2021

Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe.John Mongella amezindua chanjo ya UVIKO 19 kwa  Mkoa wa Arusha na kuwataka wananchi wasiwe na hofu ya kukosa chanjo.

Amesema chanjo ipo na itawatosha wale wote wenye sifa ya kuchanjwa na kwa sasa kipaombele ni  wenye magonjwa nyemelezi, watu wazima wenye umri kuanzia miaka 50 na watumishi wa sekta ya afya.

"Ondoeni hofu ya kukosa chanjo kwani ipo ya kutosha na kila anaestahili kuchanjwa atachanjwa".

Aidha, amewataka wananchi wa Mkoa wa Arusha kuendelea kufuata maelekezo ya wataalamu wa afya kwa makundi ya watu wanaostahili kuanza kuchanjwa.

Mongella amesema Arusha kama kitovu cha Utalii itapendeza na kila wananchi apate chanjo ili kuwatia Moyo watalii wa nje kwani wataona tupo salama.

Nae, Katibu Tawala Mkoa wa Arusha Dkt. Athumani Kihamia amesema Dunia kwa sasa ni kama Kijiji na mwingiliano ni mkubwa hivyo amewasihi wananchi wa Arusha kutokuogopa hiyo chanjo.

Dkt. Kihamia amesisitiza kuwa kuna watu wanasafiri ndani na nje ya nchi hivyo kuongeza mwingiliano wa watu na bila kuchanjwa wanakuwa hawako salama sana katika mazingira hayo.

Kila atakaechanjwa ahakikishe anaendelea kuchukua tahadhari za kujikinga na UVIKO 19 ili kujiweka salama zaidi.

Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Gofrey Pinda, amewataka watu wote waliochanjwa kwenda kuwa mabalozi wazuri katika Jamii zao ili wahamasishe Jamii yao kuchanjwa pia.

Amesema kikubwa wananchi wanatakiwa kuelewa umuhimu wa chanjo kwanza kabla ya kuipinga.

Mhe. Pinda amewaomba wananchi wa Arusha   wachangamkie fursa hiyo ya kuchanjwa kwani itafika muda hawataipata chanjo kirahisi.

Uzinduzi wa chanjo ya UVIKO 19 kwa Mkoa wa Arusha umefanyika leo Agosti 3, 2021 kwa Wilaya zote Saba na jumla ya chanjo 50,000 zimepokelewa katika Mkoa wa Arusha.

Announcements

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • View All

Latest News

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • View All

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
More Videos

Quick Links

  • Guildlines Towards the use of ICT In Government
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Related Links

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Public Servant Portal
  • Takwimu
  • TANAPA

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

Other Contacts

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Sitemap
    • FAQ

Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.