• Complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Arusha Regional

The United Republic of Tanzania President Office Regional Administration and Local Government Arusha Regional

  • Home
  • About Us
    • History
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa mikoa waliopita-Arusha
    • Dira na dhima
    • The basics
    • Strategies
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Units
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • District
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Councils
    • Arusha CC
    • Arusha DC
    • Meru DC
    • Monduli DC
    • Karatu DC
    • Longido DC
    • Ngorongoro DC
  • Investment Opportunities
    • Tourism
    • Livestock
    • Agricultre
    • Industrial
  • Our Service
    • Health
    • Education
    • Water
    • Land
    • Tourism
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events

SHAMBA LA STEYN WILAYANI MONDULI LAKABIDHIWA TAWA

Posted on: July 5th, 2022

Waziri wa Ardhi na maendeleo ya makazi Mhe.Angelina Mabula amepiga marufuku matumizi ya aina yoyote katika Shamba la Stain lililokuwa chini ya uwangalizi na Halmashauri ya Monduli.

Kauli hiyo ameitoa alipokuwa akizungumza na viongozi wa Wilaya na Halmashauri ya Monduli katika kikao kifupi kilichofanyika katika ukumbi wa ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Monduli.

Mhe.Mabula amesema Halmashauri ya Monduli haina tena mamlaka ya kusimamia Shamba hilo bali litakuwa chini ya Mamlaka ya Wanyapori Tanzania (TAWA) kwa uwangalizi zaidi.

Halmashauri ya Monduli imenyang'anywa uwangalizi huo baada ya kuweka mwekezaji kinyume cha sheria za usimamizi wa Ardhi kwani walitakiwa kuomba kibari kutoka kwa mmiliki ambae ni msajili wa hazina.

Amesema Halmashauri ilikiuka sheria kwa kubadili jina la Shamba  ilingali jina la Shamba lilikuwepo,pia mkataba walioingia na mwekezaji haukuwa wazi sana kuonesha niwa miaka mingapi.

Kutokana na ukiukwaji huo wa taratibu na sheria Wizari ya Ardhi imeondoa mamlaka ya uwangalizi wa Shamba hilo kutoka kwa Halmashauri ya Monduli na kupatia TAWA.

Nae, Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Mary Masanja amesema Shamba la Stain lipo katika  mapito ya wanyama na ni eneo la ikolojia ya hifadhi ya Manyara na Tarangire hivyo wao kama Wizara wana jukumu la kuliangalia kwani ni Maliasili ya nchi.

Naibu Waziri wa OR- TAMISEMI Mhe.Festo Ndugange amewataka viongozi wa Halmashauri ya Monduli kuwa na subira wakati Serikali kuu ikiendelea kuweka  taratibu za namna ya kulisimamia na kuliendeleza Shamba hilo.

Dkt. Ndugange amesema Serikali ni moja inayofanya kazi kwa ushirikiano kwa lengo la kutoa huduma bora kwa wananchi

Shamba la Stain lina ukubwa wa ekari 15,163 likiwa linajumuisha mshamba madogo 3 Amani, Lente na Londoles ambapo katika Shamba la Amani ekari 3000 zilimegwa na Halmashauri ya Monduli kati yake ekari 1500 walipewa wanakijiji kwa ajili ya matumizi yao na ekari 1500 Halmashauri ilimpa mwekezaji  EBN hunting Safari Kampani.

Shamba la Stain lilifutwa umiliki wake mnamo mwaka 2005 na aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania marehemu Benjamin William Mkapa kutoka kwa mwekezaji  bwana Herman Stain na Julai 2018 Serikali ilichukua umiliki wake na Halmashauri ya Monduli ilikasimiwa mamlaka ya kuwa msimamizi wa Shamba hilo.



Announcements

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • View All

Latest News

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • View All

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
More Videos

Quick Links

  • Guildlines Towards the use of ICT In Government
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Related Links

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Public Servant Portal
  • Takwimu
  • TANAPA

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

Other Contacts

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Sitemap
    • FAQ

Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.