SHEREHE ZA UZINDUZI WA MWENGE WA UHURU 2024
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa, akiwasha Mwenge wa Uhuru 2024, kwa niaba ya Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Dkt. Hussein Ali Mwinyi, kwenye seherehe za Uzinduzi wa mbio za Mwenge wa Uhuru mwaka 2024, zilizofanyika Mkoani Kilimanjaro Aprili 2, 2024.
#arushafursalukuki
Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.