Watumishi wa Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA)Mkoani Arusha ,wametakiwa kusimamia fedha za miradi ya Maji zinazotolewa na Serikali, kwani sekta hiyo haina mbadala.
Wito huo umetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Iddi Kimanta alipokuwa akifungua kikao kazi Cha watumishi wa RUWASA, Jjijini Arusha.
Amewaambia sekta yao inategemewa sana na sekta nyingine katika kuendesha shughuli, hivyo wakafanye kazi kwa uwadilifu huku wakifuata Sheria na Kanuni zilizowekwa.
@arusha_district_council
@arusha_city_council
@merudistrictcouncil2
@longidodistrict_council
@afisahabarikaratu
@ngorongoro_district
Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.